Sunday, 7 July 2024

Blog Ya Tot Afya

 Inakuletea Mafunzo Ya Afya Ya mtoto Anaekosa hamu ya kula

Haongezeki uzito

Homa za mara Kwa mara

Mafunzo Ya Afya Mama anaenyonyesha 

Mafunzo

Mafunzo Ya Mama Mjamzito 


Blog Ya TOTO Afya

 Inakuletea Mafunzo Ya Afya Ya mtoto 

Afya Ya Mama anaenyonyesha na Afya ya Mjamzito 

Karibu sana kupata elimu zaidi 

Thursday, 7 September 2017

Karibu kwenye blog ya Toto afya
Karibu sana kwenye blog ya Toto afya. Hii ni blog yako ya kukupa mafunzo kuhusu afya, lishe na ushauri wa maisha

Ukiwa na Tangazo unataka tukutangazie kwenye blog hii ni bei ndogo sana wasiliana nasi kwa haraka kupitia email hii 
yusterhenry@gmail.com utajibiwa kwa haraka sana. Unachotakiwa ni kuelezea nini unataka kutangaza mfano kutangaza biashara, Huduma au kutangaza blog au website ili ijulikane na watu wengi zaidi.

Vitu vizuri share na marafiki. Watumie marafiki anwani ya blog hii ambayo ni totoafya.blogspot.com watumie kwenye magroup ya whatsapp face book na kwingineko ili nao waje kufaidika na habari zinazoandikwa kwenye blog hii ya kwanza kwa kutoa habari za kweli. Ukiwa na maoni comment hapa chini. Karibu sana.